Amani ni hali ya utulivu, usalama na maelewano miongoni mwa watu katika jamii ni msingi muhimu unaowezesha wananchi kuishi kwa upendo, kufanya shughuli zao za kila siku na kushiriki katika maendeleo ya taifa Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Mhe. Kanali Isaack Mwakisu, amesema kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa lolote, akionya kuwa uvunjifu wa…