June 29, 2026

Umoja wa viongozi wa dini ni jambo muhimu sana katika kuleta amani, maadili na maendeleo katika jamii na viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya kuwaongoza waamini katika njia sahihi zinazompendeza Mungu na pia zinazochangia ustawi wa jamii kwa ujumla Na Sofia Cosmas Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuacha uadui na badala yake kuungana kwa pamoja katika kuujenga mwili wa Kristo…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *