Serikali imeendelea kutekeleza mpango wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kupitia Halmashauri mbalimbali nchini kwa lengo la kuwawezesha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kujikwamua kiuchumi. Na Emmanuel Kamangu Jumla ya zaidi ya shilingi milioni 600 zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa…