Ndoa ni msingi muhimu wa familia na jamii kwa ujumla na familia yenye amani hujenga mazingira mazuri ya malezi na maendeleo ya watoto, hata hivyo, migogoro katika ndoa imekuwa ikiongezeka kutokana na sababu mbalimbali Sababu za kiuchumi, mawasiliano duni, maadili na tabia zisizofaa, pamoja na mabadiliko ya kijamii, ni miongoni mwa visababishi vinavyochangia kuwepo kwa migogoro katika ndoa na…