Ukatili wa kijinsia ni tatizo linaloathiri wanawake, wanaume na watoto ingawa mara nyingi jamii huzungumzia ukatili dhidi ya wanawake, wanaume pia hukumbana na vitendo vya ukatili katika familia na sehemu nyingine za maisha Na Timoth Leonard Wakati dunia ikiendelea kuhamasisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, wanaume wametakiwa kuvunja ukimya na kuripoti matukio ya ukatili…