
Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi , vijana, ajira na wenye ulemavu Pro, Joyce Ndalichako amewataka wanawake mkoani kigoma kushikamana kukabiliana na vitendo vya ukatili ambavyo vimeacha majeraha katika familia nyingi.
Mwanahabari wetu Emmanuel Kamangu anaripoti zaidi.