Mwalimu ni mtu muhimu katika jamii kwa sababu ana jukumu la kufundisha, kulea na kuwaongoza wanafunzi katika kupata maarifa, ujuzi na tabia njema hivyo maadili ni msingi mkubwa wa kusaidia kumjenga mwanafunzi Na Hagai Ruyagila Walimu wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi na kuwa waadilifu wanapotekeleza…