October 12, 2026

Wafanyabiashara na wananchi Mkoani Kigoma wameeleza kuwa huduma za posta zimerahisisha utumaji wa mizigo ndani na nje ya nchi Na Lucas Hoha Shirika la posta Tanzania limesema litaendelea kushirikiana na zaidi ya nchi 200 duniani kwa lengo la kurahisisha huduma kwa wananchi wakati wa kutuma mizigo ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanapotuma mizigo hiyo kwenda nchi mbalimbali ikiwemo…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *