Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linamshikilia Warren Mwinuka (20), mkazi wa Mtaa wa Makondeko jijini Mbeya kwa tuhuma za kujifanya ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, akitumia akaunti ya mtandao wa kijamii wa Instagram kwa jina la Mkuu huyo.
90.5fm Kigoma, Tanzania