Wananchi wametakiwa kushirikiana na vyombo vya dola kutoa taarifa za uhalifu na vitendo vya ukatili ili hatua stahiki za kisheria ziweze kuchukuliwa. Na Josephine Kiravu Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kukamata madereva na kubaini makosa 9,499 ya usalama barabarani na kutoza faini huku madereva 7 wa pikipiki wakiwa wamefikishwa mahakamani na madereva 3 wakifutiwa leseni.