Katika jamii zetu, kumekuwa na tatizo la baadhi ya wasichana kupata mimba wakiwa na umri mdogo jambo hili limekuwa likisababisha changamoto nyingi katika maisha yao, ikiwemo kukatishwa masomo, kukosa matumaini na kunyanyapaliwa na watu wanaowazunguka na hivyo ni muhimu kuelewa kuwa wasichana hawa hawapaswi kunyanyapaliwa, kudharauliwa wala kutengwa na jamii Na Prisca Kizeba Wazazi na…