Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amewataka viongozi na watendaji katika ngazi zote kushirikiana na wawekezaji kuhakikisha wakulima wanapata elimu ya kutosha ili waweze kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa hewa ukaa. Na Orida Sayon Ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu hewa ukaa kwa wakulima Mkoani Kigoma umetajwa kuwa miongoni mwa changamoto zinazoweza kukwamisha utekelezaji wa miradi ya kilimo…