Wanafunzi wameeleza kuridhishwa na mchango wa Compassion International Tanzania, wakisema shirika hilo limekuwa nguzo muhimu katika kuwaunganisha na fursa mbalimbali. Na Lucas Hoha Shirika la Compassion International Tanzania limeanzisha mpango maalumu wa kuwaunganisha wanafunzi wanaohitimu elimu ya sekondari, hususan Kidato cha Nne, na vyuo mbalimbali ili kuwawezesha kuendelea na masomo…