November 18, 2026

Wananchi Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kulima mazao ya kimkakati Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Mhe. Festo Kiswaga, amewataka wananchi wilayani humo kuchangamkia fursa ya kulima mazao ya kimkakati yenye tija na soko la uhakika kama vile choroko, mbaazi, tumbaku, kahawa na parachichi. Amesema kuwa mazao hayo yana uwezo mkubwa wa kuinua kipato…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *