October 14, 2026

Wakati Burundi ikiendelea na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 baadhi ya vyama vya upinzani ikiwemo Frodebu vimeonyesha nia ya kususia uchaguzi Na Bukuru Daniel Chama cha upinzani cha Sahwanya-FRODEBU nchini Burundi kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Mei 3, 2027, kikisema kuwa hakuna kidemokrasia inayoashiria kuwa utakuwa wa huru,haki na wa kuaminika.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *