Watoto wa kike wanapaswa kuchukua tahadhari ikiwemo kuepuka vishawishi ili kulinda utu wao na kutoa taarifa wanapobaini viashiria vya kutendewa uovu vinavyosababisha kukiukwa kwa haki zao. Na Mwandishi wetu Katika kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, Mkoa wa Kigoma umeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku hii muhimu kwa ajili ya kutambua haki za watoto wa kike ili…