October 12, 2026

Matengenezo ya kawaida ya barabara yana umuhimu mkubwa katika kuboresha usafiri, kulinda miundombinu na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii Na Mwandishi wetu Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wilaya ya Kigoma imesaini mikataba na Vikundi vya Kijamii (CBGs) ishirini na tatu (23) kwa lengo la kufanya matengenezo ya kawaida ya barabara za wilaya hiyo yenye thamani ya…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *