Uborehaji wa miundombinu ya kutolea huduma.za afya ni hatua muhimu za kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora zaidi Na Orida Sayon Wananchi wa Kata ya Ilagala katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, mkoani Kigoma, wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya vyoo pamoja na kuongeza wodi katika Kituo cha Afya Ilagala, ili kuimarisha mazingira ya utoaji na upatikanaji wa huduma za afya.