Uzinduzi wa kliniki hiyo umetajwa na wananchi wa Wilaya Kasulu na maeneo jirani kama huduma muhimu kwao kwani walitembelea umbali mrefu kufuata huduma hizo Na Hagai Ruyagila Rais wa Mabaraza ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki katika Ukanda wa Mashariki mwa Afrika (AMECEA) na Askofu wa Jimbo Kuu la Mbeya, Gervais Nyaisonga amezindua huduma za kibingwa za Kliniki ya macho pamoja na jengo…