Wakati Dunia ikifanya maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani, Baadhi ya Wazee katika Mkoa wa Kigoma wameomba jamii na Serikali kuendelea kuwajali na kuwalinda katika Nyanja zote za Maisha ikiwemo kupata matibabu ya uhakika na kwa wakati na watoto kuacha tabia ya kuwatelekeza wazazi wakati wao waliwalea na kuwapa mahitaji yote Mhimu ikiwemo kuwasomesha walipokuwa bado ni Watoto Na Lucas…