Wakati wanafunzi wa kidato cha nne wakijianda kuanza mitihani yao, wazazi na walezi wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuwasaidia watoto wao kutimiza ndoto zao Na Emmanuel Kamangu Wahitimu 100 wa Shule ya Sekondari Mikamba, iliyopo Kata ya Kidahwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, wameahidi kufanya vizuri katika mitihani yao ya Kidato cha Nne, licha ya mitihani hiyo kusogezwa mbele…