September 20, 2026

Afya ni jambo muhimu katika maisha ya kila mwanadamu na ili jamii iwe na maendeleo, ni lazima watu wawe na afya njema na waweze kupata huduma za afya kwa urahisi Na Mwandishi wetu Timu ya Usimamizi na Uendeshaji wa Huduma za Afya (RHMT) Mkoa wa Kigoma imefanikiwa kutwaa tuzo katika kipengele cha Usimamizi Bora wa Huduma za Afya ya Msingi ngazi ya mikoa.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *