Usafi wa mazingira ni jambo muhimu katika maisha ya binadamu na mazingira safi humsaidia mtu kuishi katika hali nzuri na humkinga dhidi ya magonjwa mbalimbali Na Lucas Hoha Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashird Chuachua amewaagiza Watendaji wa kata zilizopo Manispaa ya Kigoma Ujij kuwatoza faini wananchi wanaochafua Mazingira kwa kutupa taka ovyo ili kuhakikisha Manispaa ya Kigoma Ujiji…