Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026 zimewasili katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mkoani Kigoma, ambapo Mwenge huo unatembelea, kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Lucas Hoha Ukiwa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwenge wa Uhuru umeshazindua Bweni la Wavulana katika Shule ya Sekondari Buronge, lenye thamani ya zaidi ya shilingi…