September 12, 2026

Mwenge wa uhuru umeendelea kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Kigoma huku ukisisitiza miradi hiyo kutunzwa Na Hagai Ruyagila Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake leo Septemba 11, 2026 katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, ukitokea Wilaya ya Kasulu, ambapo unatarajiwa kuzindua, kutembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *