September 9, 2026

Mradi wa maji Luhuru uliopo Wilayani Kakonko unaenda kuwa mwarobaini ya ukosefubwa maji kwa wananchi waliokuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma za maji Na Mwandishi wetu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Wazo Mwang’onda ametoa wito wa kuendelea kutunzwa miundombinu ya maji ili iweze kudumu na kutoa huduma kwa muda mrefu. Kiongozi huyo ametoa wito huo mara baada ya…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *