July 16, 2026

Wazee ni nguzo muhimu katika familia na jamii. Wao ni watu waliotangulia kwa umri na wana uzoefu mkubwa wa maisha. Kwa sababu hiyo, ni wajibu wa kila mtu kuwaheshimu na kuwajali Na Hagai Ruyagila Shirika la Endeleza Wazee Kigoma (EWAKI) limezindua rasmi mradi wa kuimarisha sauti za wazee Wilaya ya Kasulu wenye lengo la kuibua na kutatua changamoto zinazowakabili wazee katika jamii.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *