Programu ya uongozi wa kitaaluma (Mentorship Programme) kwa waandishi wa habari wanawake ni hatua muhimu katika kuimarisha taaluma ya uandishi wa habari nchini kwani waandishi wanapata nafasi ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu, jambo linalowawezesha kuongeza ujuzi, kujiamini na kuboresha utendaji wao wa kazi Na Mwandis hi wetu Waandishi wa habari wanawake kutoka vyombo…