Usimamizi wa miradi ya maendeleo ni muhimu kwa ajili ya manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla Na Mwandishi wetu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma, imeendesha warsha maalum iliyowakutanisha wadau wa usimamizi wa utekelezaji Miradi ya Maendeleo Mkoa wa Kigoma Warsha hiyo imelenga kuwajengea uelewa na kuweka maazimio tendaji ya pamoja kwa wadau hao…