Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yana mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii kwa kushirikiana na Serikali kutoa huduma mbalimbali kama elimu, afya, mazingira, haki za binadamu na ustawi wa jamii. Na Filbert Gabriel Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yameshauriwa kuwa na ubunifu wa kuanzisha vyanzo vya mapato vya ndani ili yaweze kujiendesha kwa ufanisi na kuendelea…