November 13, 2026

Matumizi mabaya ya barabara yameendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali hali inayosababisha barabara nyingi kuharibika na kushindwa kupitika Na Hagai Ruyagila Madiwani Katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani kigoma wameitaka TARURA wilaya ya Kasulu kuhakikisha wanasimamia sheria na taratibu za matumizi ya barabara ili magari yanayoruhusiwa kupita yanaendana na uzito unaoruhusiwa kwa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *