Utekelezaji wa miradi hiyo ni sehemu ya mikakati ya kusogeza na kuboresha utoaji huduma za wananchi Na Mwandishi wetu Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imeendelea kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatekelezwa kwa ubora, ufanisi na kwa wakati, na kuongeza tija katika matumizi ya fedha za umma na utoaji wa huduma kwa wananchi. Katika hatua hiyo…