Matatizo ya afya ya akili ni changamoto kubwa katika jamii kwa sababu yanaathiri maisha ya mtu binafsi, familia na taifa kwa ujumla Mwandishi wetu Watumishi wa Umma Mkoani Kigoma wametakiwa kujiwekea utaratibu wa kupima Afya ya Akili angalau mara mbili kwa mwaka, hali itakayowasaidia kufanya maamuzi sahihi kwenye maisha yao pamoja na kutoa huduma bora kwa wananchi.