November 20, 2026

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo katika kusaidia vijana kuweza kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri Na Shangwe Seluke Vijana kutoka Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na wadau wa maendeleo pamoja na kutumia vizuri ruzuku wanazopatiwa ili kufikia malengo waliyojiwekea na kujikwamua kiuchumi.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *