November 20, 2026

Mitandao ya kijamii ni nyenzo muhimu katika kukuza biashara endapo itatumiwa vizuri Na Timotheo Leonard Baadhi ya wanawake wafanyabiashara Mkoani Kigoma wameitaja mitandao ya kijamii kama ukombozi mkubwa uliobadilisha maisha yao, kwa kuwawezesha kujiingizia kipato na kutangaza bidhaa zao kwa wateja wengi ndani na nje ya nchi. Ukuaji wa teknolojia na matumizi ya intaneti nchini…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *