Katika makabidhiano hayo suala la usimamizi wa miradi ya maendeleo limetiliwa mkazo ili kuhakikisha Halmashauri ya Kasulu inaendelea kufikisha huduma kwa wananchi Na Mwandishi wetu Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, Kanali Isaac Mwakisu, amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Luteni Kanali Joseph Murimi…