Biashara ni mojawapo ya shughuli muhimu zinazochangia ukuaji wa uchumi wa mtu binafsi na taifa kwa ujumla hata hivyo, changamoto kubwa inayowakabili wafanyabiashara wengi ni kushindwa kukuza mitaji yao kutokana na matumizi yasiyo na mpangilio, usimamizi duni wa fedha na kukosa mikakati madhubuti ya kuendeleza biashara zao Na Sadick Kibwana Wafanyabiashara Mkoani Kigoma wameaswa kujiunga…