Uongozi wa gereza la bangwe lililopo Manispaa ya Kigoma Ujiji umesema umeendelea kushirikiana kwa pamoja na wadau na jamii katika shughuli zao Na Lucas Hoha Kuelekea maadhimisho ya siku ya Posta Duniani yanayofanyika kila Mwaka ifikapo tarehe 9 Oktoba Shirika la Posta Kigoma limetoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo Sukari na taulo za Kike kwa wafungwa wa Gereza la Bangwe Manispaa ya…