Tamasha la BUHA 2026 linatarajiwa kufanyika Disemba 2026 likiwa na lengo la kuenzi mila na desturi za watu wa Kigoma na elimu mbalimbali ya uraia Na Orida Sayon Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kushiriki tamasha la Buha 2026 jukwaa linalolenga kujenga mahusiano, ushirikiano na maendeleo ya jamii na kuenzi urithi wa Buha. Tamasha hili limeandaliwa na umoja wa Ibhuha Yachu likiwa na…