Idara ya maendeleo ya jamii Wilayani Kasulu imetembelea miradi mbalimbali na kuwataka wananchi kutumia mikopo ya Halmashauri kujikwamua kiuchumi Na Mwandishi wetu Wataalamu wa kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Uvinza, leo septemba 30,2026 wamefanya ziara ya kuazimisha kilele cha mwezi wa Maendeleo ya Jamii kwa kutembelea mnada wa mwamila pamoja na mradi wa Bwawa la Samaki.