September 21, 2026

Serikali na wadau mbalimbali wa kilimo wamewataka wakulima kuanza kujianda na msimu wa kilimo Na Hagai Ruyagila Wananchi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, wameshauriwa kujiandaa mapema kwa msimu wa kilimo kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu, pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya mvua za El Niño zinazotarajiwa kunyesha hivi karibuni Wito huo umetolewa na Afisa Kilimo kutoka…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *