July 17, 2026
Wamiliki wa famasi Kasulu wahimizwa kusajili biashara zao

Usajili na urasimishaji wa biashara za famasi na maduka ya dawa muhimu ni jambo la msingi katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma salama na bora za afya kwa wananchi. Na Emmanuel Kamangu Wamiliki wa famasi na maduka ya dawa muhimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wamehimizwa kusajili na kurasimisha biashara zao kwa mujibu wa sheria ikiwa ni kuboresha huduma za afya na…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *