Vitendo vya ukatili vimeendelea kujitokeza ambapo wito wa wadau pamoja na serikali wameendelea kutoa elimu ya namna ya kukomesha vitendo hivyo Na Hagai Ruyagila Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Kasulu kilichopo Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, wametakiwa kujiepusha na vitendo vya ukatili wa kijinsia na badala yake kutoa taarifa kwa mamlaka husika wanapobaini vitendo hivyo ili…