Uchaguzi wa Urais nchini Burundi unatarajiwa kufanyika mei 3, mwaka 2027 Na Bukuru Daniel Vyama 11 vya upinzani nchini Burundi vimetangaza kumuunga mkono Rais Évariste Ndayishimiye katika azma yake ya kuwania muhula wa pili wa urais, katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 3 mwaka 2027. Uamuzi huo ulitangazwa Jumanne mjini Bujumbura, ambapo vyama hivyo vilieleza kuwa…