Wamesema ukosefu wa choo unaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kutokana na qengi wao kujisaidia haja ndogo kwenye makopo ya maji Na Mwandishi wetu Baadhi ya Madereva wa vyombo vya moto katika Standi ya magari ya Stesheni Manispaa ya Kigoma Ujiji wameilalamikia serikali kushindwa kurejesha huduma ya Choo katika eneo hilo baada ya choo kilichokuwa kinatumika kufungwa kwa zaidi ya miezi…