Wananchi wa eneo hilo wamewaomba wanajamii wenzao kujenga tabia ya kuwashirikisha watu wao wa karibu yale yanayowasibu kuliko kuchukua hatua za kukatiza uhai wao Na Emmanuel Kamangu Mtu mmoja ambaye hajafahamika anayekadiliwa kuwa na umri miaka 40 amekutwa amefariki katika msitu wa asili unaomilikiwa na dini ya Kiislamu BAKWATA uliopo mtaa wa Kisangani kata ya Mwilamvya halmashauri…